Naibu rais Gachagua asema mazungumzo ya uwiano yataambulia patupu

  • | Citizen TV
    569 views

    Naibu rais Gachagua ameepuzilia mbali mazungumzo ya uwiano yanayoendelea katika ukumbi wa bomas akisema hayatazaa matunda.gachagua alidai kuwa tayari kinara wa azimio Raila Odinga alikuwa amefanya mazungumzo na rais william ruto na kuafikia matakwa yake.