Naibu rais Gachagua atetea makato ya nyumba

  • | K24 Video
    39 views

    Serikali inasisitiza kuwa makato ya asilimia tatu kwa mishahara ni akiba na sio ushuru. Akiwa mukurwe-ini kaunti ya Nyeri, naibu Rais Rigathi Gachagua amesema fedha hizo zitasaidia kuwapa kazi vijana wanapotoka katika vyuo vya kiufundi. Gachagua pia amefichua kuwa serikali inapania kuwaondoa mawakala 17 katika ununuzi na uuzaji wa kahawa katika masoko ya humu nchini na ya kimataifa. hatua hiyo ni miongoni mwa mabadiliko yanayotarajiwa kuonekana katika sekta ya kahawa