Naibu Rais Kithure Kindiki amefanya mkutano na Gavana wa Embu na kutupilia mbali madai ya uhasama

  • | Citizen TV
    4,549 views

    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amefanya mkutano na Gavana wa Embu na kutupilia mbali madai kuwa gavana huyo wa Embu ambaye pia ni mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha UDA anahujumiwa na serikali. Kindiki amesema kuwa madai hayo ni potovu na kuwa ana uhusiano mzuri na Gavana huyo na viongozi wote wa kaunti hiyo.