Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki aapishwa

  • | Citizen TV
    4,841 views

    Prof. Kithure Kindiki leo aliapishwa na kuwa naibu rais wa tatu wa kenya, kwenye hafla iliyoandaliwa katika ukumbi wa kicc, na kuongozwa na jaji mkuu Martha Koome. Kindiki aliyekula viapo viwili vya afisi yake, amemwahidi Rais William Ruto kuwa mwaminifu na mtiifu, akisema atamsaidia kupunguza mzigo mzito wa uongozi.