Naibu rais Rigathi Gachagua ahudhuria Kongamano la manaibu gavana kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    657 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua anahudhuria Kongamano la manaibu gavana kaunti ya Mombasa. kongamano hilo linalenga kujadili mchango wa manaibu gavana kwenye uongozi wa kaunti ili kuzuia migogoro na magavana na kuboresha ugatuzi. Gachagua vilevile anatazamiwa kuzuru bandari ya Shimoni kaunti ya kwale.