Naibu rais Rigathi Gachagua akiri anakabiliwa na matatizo ya usafiri

  • | Citizen TV
    11,712 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua kw amara ya kwanza ameelezea masaibu yake ya usafiri ambayo yamemsababisha kuchelewa kwenye hafla rasmi za kikazi.Gachagua ambaye hii leo alichelewa kufika katika hafla ya maombi iliyohudhuriwa na rais william ruto huko nakuru amesema kuwa anakabiliwa na changamoto za usafiri. na kama anavyoarifu brenda wanga, masaibu ya gachagua yameonekana kumwandamana mara kadha ahuku minng'ono kuhusu tofauti kati yake na rais ikitanda.