Naibu Rais Rigathi Gachagua akosolewa kwa kumtaja jaji hadharani

  • | Citizen TV
    1,238 views

    Shutuma dhidi ya naibu rais na matamshi yake kuhusu maafisa wa idara ya mahakama, huku Mbunge wa Ugenya, David Ochieng akiwa wa punde kukashifu matamshi haya