Naibu wa rais Rigadhi Gachagua atarajiwa kufungua rasmi maonyesho ya kilimo ya Eldoret

  • | Citizen TV
    367 views

    Naibu wa rais Rigadhi Gachagua hii leo anatarajiwa kufungua rasmi maonyesho ya kilimo ya Eldoret. Wakulima wanatarajia mbolea zaidi kutoka kwa serikali kwani msimu wa upanzi umekaribia . Maonyesho hayo yaliyo anza siku mbili zilizo pita imeshuhudia idadi kubwa ya wakenya wanaojitokeza kuhudhuria.