Naibu wa rais Rigathi Gachagua awaonya wezi wa mitihani

  • | Citizen TV
    1,174 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametoa onyo Kali kwa wale wanaopania kujihusisha na visa vya udanganyifu katika mitihani ya kitaifa inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Gachagua ametangaza kuwa serikali itashirikiana na idara ya upelelezi wa jinai DCI kuwanasa wahusika.