Skip to main content
Skip to main content

Nairobi United wajitayarisha kumenyana na APS Bomet, siku mbili baada ya kufungwa Tanzania

  • | Citizen TV
    105 views
    Duration: 1:13
    Nairobi united hawana wakati wa kupumzika wanapojiandaa kumenyana na APS Bomet kwenye mechi ya ligi kuu ya Kenya, siku mbili baada ya kuwasili kutoka tanzania ambapo walipoteza 1-0 dhidi ya azam fc katika mechi ya kombe la mashirikisho la CAF