Skip to main content
Skip to main content

Nairobi United wapoteza tena, wakiwa wamebakiwa mabao 2-1 dhidi ya APS Bomet kwenye Nyayo

  • | Citizen TV
    48 views
    Timu ya Nairobi United imepata pigo kwa mara ya tatu katika kipindi cha siku kumi baada ya kulazwa mabao 2-1 na timu ya APS Bomet kwenye mechi ya ligi kuu ya kandanda katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo. Bomet walichukua oungozi wa mabao 2-0 kabla ya polisi kupata bao la kufutia machozo katika robo ya mwisho ya mechi hiyo.