Skip to main content
Skip to main content

Nairobi United yafanya mazoezi mapesi kabla ya mechi na Azam kesho

  • | Citizen TV
    129 views
    Duration: 1:16
    Timu ya Nairobi United jana jioni iliandaa mazoezi mapesi kabla ya kuikabili azam ya Tanzania hapo kesho katika mechi ya nne ya makundi ya kombe la mashirikisho barani Afrika