- 140 viewsDuration: 1:19Timu ya Nairobi united imesalia katika nafasi ya kumi kwenye jedwali la ligi kuu ya kandanda baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na timu ya KCB kwenye mechi pekee ya ligi siku ya jumatano. Wanabenki wa kcb walitangua kupata bao katika dakika ya kumi kabla ya nairobi united kusawazisha katika dakika ya 31