Nairobi yashuhudia vurugu kali kufuatia mauaji ya Albert Ojwang.

  • | NTV Video
    5,915 views

    Kuanzia mchana hadi alasiri nzima jiji la Nairobi limegeuzwa uwanja wa nipe nikupe baina ya polisi na waandamanaji kufuatia mauaji ya Albert Ojwang na wito wa kujiuzulu kwa naibu inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya