Skip to main content
Skip to main content

Nairobi yasimamisha afisa mkuu wa maendeleo na mipango baada ya kukamatwa

  • | Citizen TV
    151 views
    Afisa Mkuu wa Maendeleo na Mipango katika Kaunti ya Nairobi, Patrick Analo Akivaga, amesimamishwa kazi na serikali ya kaunti kufuatia kukamatwa kwake Alhamisi.