Viongozi wa dini jijini Nakuru wameonya wanasiasa dhidi ya kutumia siasa za kikabila kuwagawa Wakenya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, wakisema matamshi ya uchochezi yanaweza kulirudisha taifa katika machungu ya ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya