Skip to main content
Skip to main content

Nani amefaidika zaidi kombe la dunia?

  • | BBC Swahili
    7,781 views
    Duration: 2:38
    Michuano ya kombe la dunia siyo tu jukwaa la kutafuta bingwa wa soka duniani, bali pia ni sehemu ya biashara ya kimataifa ya mabilioni ya dola. Mwaka huu wa 2026, shirikisho la kimataifa la soka FIFA limeweka rekodi mpyaya kuingiza mapato ya dola milioni bilioni 13,hata hivyo ni dola milioni 871 pekee kwa timu zilizoshiriki mashindano hayo. Je, fedha hizi zimegawanywa kwa haki? Na ni nani amefaidika zaidi? Mwandishi wa BBC Ahmed Bahajj na taarifa hii - - #bbcswahili #soka #kombeladunia2026 #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw