Narok: Wakazi wataka serikali kujenga barabara ya mzunguko kupunguza msongamano wa magari

  • | NTV Video
    70 views

    Mji wa Narok unaendelea kukua kwa kasi, ukiwa lango kuu kuelekea hifadhi ya wanyama maarufu ya Maasai Mara.

    Hata hivyo, licha ya ongezeko la magari na shughuli nyingi za kibiashara, mji huu bado hana barabara ya mzunguko.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya