"Natamani Miss Tanzania kuwa mtu mwenye Ualbino"

  • | BBC Swahili
    701 views
    Sitosahau siku walipotaka kuvunja mlango na kunusurika kuuawa’ - Emmanuel, Mr. Albino East Africa Leo ikiwa siku ya maadhimisho ya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino), Emmanuel anataka jamii ielewe kuwa wao ni binadamu wa kawaida na wanaweza kufanya kila kitu.