‘Natamka tu yale maneno ya kimpira licha ya kuwa sioni’ - Shaffih Seleman

  • | BBC Swahili
    262 views
    Katika mfululizo wa video zilifanya vizuri kwa miaka iliyopita leo tupo na mwanafunzi wa Darasa la tano Shaffih Seleman asiye na uwezo wa kuona lakini anapenda kutangaza mpira. Mwandishi wa BBC @frankmavura alimtembelea kijana Shaffih shuleni kwao shule ya Uhuru Mchanganyiko, Ilala jijini Dar es Salaam kujionea umahiri wa kijana huyu. #bbcswahili #michezo #watoto