Natembeya; Pana haja ya dharura katika jamiii ya waluhya kuungana ili kutambuliwa katika siasa

  • | NTV Video
    159 views

    ‘’Pana haja ya dharura katika jamiii ya waluhya kuungana ili kutambuliwa katika siasa za kitaifa.'' haya yamesemwa na gavana wa Trans-nzoia George Natembeya amabaye amesisitiza kuwa utengano wa viongozi wa jamii ya Mulembe umechangia jamii hiyo kubaki nyuma kimaendeleo na kisiasa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya