NCCK limelalamikia kudorora kwa usalama Samburu

  • | Citizen TV
    111 views

    Baraza la makanisa nchini (NCCK) limelalamikia kudorora kwa usalama kaunti ya Samburu. Baraza hilo kwenye mkao na wanahabari limetoa wito kwa uongozi kaunti hiyo na kaunti jirani zinazokumbwa na utovu wa usalama kufanya mazungumzo ya kutafuta mwafaka.