Skip to main content
Skip to main content

NCIC yalalamikia ongezeko la visa vya uhuni msimu huu wa siasa

  • | Citizen TV
    735 views
    Duration: 2:43
    Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa, NCIC, imeelezea ghadhabu yake kufuatia ongezeko la visa vya uhuni msimu huu wa siasa. Tume hiyo, iliyoandaa kikao na idara za serikali pamoja na mashirika ya kiraia, imesema kila Mkenya na taasisi zina jukumu la kuhakikisha uchaguzi wa amani. Willy Lusige ana taarifa zaidi.