- 6,470 viewsDuration: 3:00Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa sasa inasema imeanzisha harakati za kumuita gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga kujieleza kuhusiana na matamshi yake kuhusu kifo cha hayati Raila Odinga. NCIC ikikosoa matamshi ya gavana i ikimtaka aombe rambi. Haya yanajiri huku baraza la magavana likijitenga na kauli ya gavana huyo ikitangaza kumtimua kama naibu mwenyekiti wake