NCIC yataka majina ya baadhi ya kaunti yabadilishwe

  • | KBC Video
    10 views

    Tume ya uwiano na mshikamano wa kitaifa-NCIC imesema itashinikiza bunge kubadili majina ya kaunti yaliojikita katika misingi ya ukabila. Mwenyekiti wa tume hiyo, Samuel Kobia amesema miongoni mwa mapendekezo yake ni kutatua mizozo ya mipaka baina ya kaunti ambayo imesababisha uhasama wa kijamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive