Skip to main content
Skip to main content

NCP-CDK yaitaka serikali kuwasajili watu wenye ulemavu kwenye SHA ili wapate huduma bora za afya

  • | NTV Video
    249 views
    Duration: 1:57
    Muungano wa kutetea haki za walezi wa watoto wenye ulemavu nchini (NCP-CDK) umeitaka serikali, kupitia Idara ya Watoto, kuwasajili watu wenye ulemavu katika mpango wa SHA ili wapate huduma bora za afya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya