22 Sep 2025 10:53 am | Citizen TV 1,130 views Duration: 1:27 Mwenyekiti wa ODM Kaunti ya Kakamega, Gavana Fernandes Barasa, ametangaza kuwa Chama cha chungwa kitaunga mkono mgombea wa UDA, David Ndakwa, katika uchaguzi mdogo ujao wa ubunge wa Malava