Ndani ya chombo kilichotoweka chini ya maji

  • | BBC Swahili
    18,781 views
    Mwaka 2022, BBC ilirekodi ndani ya chombo hicho cha kampuni ya OceanGate ambacho kimepoteza mawasiliano kikiwa na watu watano chini ya Bahari ya Atlantiki. Mmoja kati ya watalii waliowahi kupanda chombo hicho akizungumza na BBC, alisema "Wote huwa tunajua kuhusu hatari kabla ya kuingia." Juhudi za uokoaji zinaendelea ili kupata chombo hicho ambacho kilitoweka baada ya kuingia chini ya bahari ya Atlantiki kupeleka watalii katika eneo la ajali ya meli ya Titanic siku ya Jumapili. - #bbcswahili #nyambizi #titanic #baharini #atlantiki