Ndege ya jeshi Bangladesh yaanguka na kugonga jengo la shule,

  • | BBC Swahili
    3,225 views
    Ndege ya mafunzo ya jeshi la anga la Bangladesh aina ya F-7 imeanguka na kugonga jengo la shule, na kuua watu wasiopungua 27 huku wengine wengi wakijeruhiwa vibaya, hasa kwa kuungua. Ndege hiyo ilipata hitilafu ya kiufundi muda mfupi baada ya kupaa kwa mazoezi. Iligonga shule ya ghorofa mbili yenye watoto wa umri wa miaka 4 hadi 18. Tukio hili limezua maswali kuhusu usalama wa ndege za kijeshi karibu na maeneo ya kiraia, na limeacha jamii katika majonzi makubwa. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #bangladesh #ajaliyandege Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw