Ndege zisizo na rubani zawapelekea maji walio katika mafuriko Ukraine

  • | BBC Swahili
    1,789 views
    Jeshi la Ukraine limetoa picha za video zinazoonyesha ndege zisizo na rubani zikitoa chupa za maji kwa watu waliokwama kutokana na mafuriko katika maeneo yanayodhibitiwa na Urusi katika mji wa Kherson. Maji kutoka katika bwawa la Kakhovka lililoharibiwa yamelifunika eneo hilo na kusababisha maelfu ya watu kutoroka makaazi yao huku kukiwa na maafa ya kibinadamu. #bbcswahili #ukraine #urusi