Skip to main content
Skip to main content

Ndoa za utotoni Marsabit

  • | Citizen TV
    285 views
    Duration: 3:08
    Ndoa za utotoni zimesalia kuzima ndoto ya wasichana wengi kutoka jamii ya Wagabra katika kaunti ya Marsabit .Hatua hiyo imewashinikiza wadau kutoa hamasa kwa jamii hiyo ili kuwaokoa wasichana kutokana na mila potofu.