9 Oct 2025 10:33 am | Citizen TV 171 views Duration: 1:20 Wakazi wa maeneo ya Juhudi, Salama Widho na Sinambio, wadi ya Mkunumbi, kaunti ya Lamu, wamelalamikia kuvamiwa na ndovu wanaoharibu mimea yao ikiwemo minazi, mihindi, mikanju na miembe.