8 Dec 2025 10:46 am | Citizen TV 477 views Duration: 2:06 Wakazi wa Bungule huko Voi kaunti ya Taita Taveta sasa wanalitaka shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori Kws kuwaondoa Ndovu sehemu hiyo ambao wamesababisha kifo cha mtu mmoja na kuharibu mimea mashambani.