Ndugu wawili wauawa kwa kupigwa risasi eneo la Eregi eneo bunge la Ikolomani

  • | West TV
    112 views
    Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha eregi eneo bunge la ikolomani baada ya kaka wawili kuuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi walipokuwa wakizozana kuhusu suala la ardhi.