New York yaorodheshwa kuwa na hali mbaya zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    822 views
    Mamilioni ya watu kote Amerika Kaskazini wanavuta hewa hatari kutoka katika moto wa nyika nchini Canada ambayo inakabiliwa na msimu mbaya zaidi wa moto wa nyika katika historia. New York imeorodheshwa kama jiji lenye hali ya hewa mbaya zaidi ulimwenguni kwani moshi unasafiri mamia ya maili kutoka Canada hadi katika jiji hilo, kulingana na kampuni ya masuala ya hali ya hewa ya Uswizi IQAir. #bbcswahili #canada #motowanyika