Ngisi anayehatarisha kifo ili kuwalinda watoto wake

  • | BBC Swahili
    611 views
    Tazama namna spishi hii ya ngisi ambayo hujitoa maisha yake ili kuwalinda watoto wake. Ngisi huyo mwenye macho meusi ameonekana kabeba mayai 3,000 huko pwani ya Chile na huzunguka nayo kila mahali mpaka siku atakapo yaangua. #bbcswahili #chile #samaki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw