Skip to main content
Skip to main content

Ni chuo gani kinachoongoza Afrika Mashariki mwaka 2026?

  • | BBC Swahili
    28,355 views
    Duration: 1:46
    Wengi huenda wakatarajia kuona Chuo Kikuu cha Nairobi au Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kikiongoza orodha hiyo. Hata hivyo, kwa mujibu wa viwango vya kimataifa vya QS World University Rankings, nafasi ya juu zaidi katika Afrika Mashariki inashikiliwa na Chuo Kikuu cha Addis Ababa cha nchini Ethiopia. Mwandishi wa BBC @elizabethkazibure na taarifa hii zaidi: - #bbcswahili #elimu #fypシ゚viral #vyuovikuu #wanafunzi #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw