Ni kwa nini upinzani Tanzania hawana imani na Tume ya Uchaguzi?

  • | BBC Swahili
    3,816 views
    Wakati Tanzania ikielekea katika uchaguzi mkuu wa kiti cha urais, wabunge na madiwani Oktoba mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ina dhamana ya kusimamia uchaguzi na kuhakikisha wananchi wanashiriki uchaguzi ulio huru na wa haki, imekuwa ikilalamikiwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya upinzani kikiwemo chama cha ACT Wazalendo. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu ameniambia ni kwa nini hawana imani na Tume hiyo.