Ni makaazi yaliyoko kando kando ya mji wa Kitale

  • | Citizen TV
    622 views

    Kando kando ya mji wa kitale, kwenye barabara kuu ya kitale kuelekea mpaka wa kenya na uganda, unakutana na kitongoji cha Tuwan. Kila mara utawapata wenyeji wa kitongoji hiki wametangamana na kuendeleza biashara yao pamoja.