- 401 viewsDuration: 3:37Kwa miezi miwili sasa, Wakaazi wa eneo la Basuba wanaoishi ndani ya msitu wa Boni kaunti ya Lamu wameendelea kuhangaika kupata maji. Wakazi wa eneo hili sasa wakilazimika kupata mitungi miwili tu ya maji kwa kila baada ya siku nne. Na kama Rahma Rashid anavyoarifu, uhaba huu umesababishwa na athari za kiangazi baada ya visima kukauka.