Skip to main content
Skip to main content

‘Nilichonufaika ni kujulikana tu’

  • | BBC Swahili
    5,652 views
    Duration: 2:16
    Bondia mkongwe nchini Tananzani ambaye sasa amegeukia ukocha wa mabondia anasema miaka ya nyuma mchezo wa ngumi haukua na faida yoyote zaidi kupata sifa, jina na umaarufu usiokuwa na tija. Kwa sasa anafundisha vijana zaidi ya vijana 20 licha ya kwamba hana mafunzo rasmi ya kazi hiyo zaidi ya uzoefu tu aliupata ulingoni tangu mwaka 1965 alipoanza kucheza mchezo huo hadi 1990 alipopigwa na kuamua kushuka ulingoni. Mzee huyu wa miaka 81 kwa sasa anakabiliwa na tatizo la magoti hivyo wakati mwingu hufundisha mabondia wake akiwa amekaa. Eagan Salla alimtembelea nyumbani kwake jijini Dar es salaam na hii ni taarifa yake