'Niliogopa ': Dereva aliyepigwa ngumi usoni na polisi anazungumza

  • | BBC Swahili
    3,692 views
    Video ya William McNeil Jr akiwa amekaa kwenye gari lake huku polisi akivunja dirisha, akampiga na kumburuta hadi nje ya gari ilisambaa mtandaoni, ambapo polisi walisema kuwa alikataa matakwa ya kushuka kwenye gari baada ya kukiuka sheria za barabarani. #bbcswahili #Marekani #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw