"Nitawashitaki walioninyanyasa" Asema Atuhaire. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    55,522 views
    Mwanaharakati wa Uganda Agarther Atuhaire ambaye alikuwa anashikiliwa nchini Tanzania amesema alikabiliwa na mateso baada ya kukamatwa nchini humo. Atuhaire ambaye amewasili leo nyumbani kwao nchini Uganda baada ya kuachiliwa huru amedai kunyanyaswa kingono na pia kuapa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya waliomtendea madhila hayo.