Njia mpya ya uvuvi yabadilisha maisha katika Kijiji cha Bumbe, Busia.

  • | KBC Video
    1 views

    Njia mpya ya uvuvi inabadilisha maisha katika Kijiji cha Bumbe, Bunyala, Kaunti ya Busia. Watu sasa wanatumia vizimba vya samaki katika Ziwa Victoria, ambalo ni salama na bora zaidi kwa mazingira kuliko njia za zamani za uvuvi. Taarifa kamili katika mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News