NOC-K imeaandaa tafrija ya kuikaribisha wanaolimpiki ya mwaka 2024

  • | NTV Video
    94 views

    Kamati ya Kitaifa ya Olimpiki ya Kenya (NOC-K) imeaandaa tafrija ya kuikaribisha timu ya Kenya iliyoshiriki michezo ya Olimpiki ya MWAKA 2024 jijini Paris. Kenya ilishinda medali 11, zikiwemo nne za dhahabu, mbili za fedha na tano za shaba. Sasa tunaungana na mwanahabari wetu Hillary Anekea kutoka hoteli ya Safari Park jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya