Skip to main content
Skip to main content

NTSA yaanza mfumo wa dijitali kuwatoza faini madereva wenye makosa

  • | Citizen TV
    1,306 views
    Duration: 2:23
    Madereva wanaokiuka sheria za barabarani sasa watalipa faini za papo hapo. Mamlaka ya kitaifa ya usalama barabarani ntsa imetangaza kuanza rasmi kwa mfumo wa dijitali kuwanasa wanaofanya makosa barabarani na ujumbe wa faini za kati ya shilingi 500 na elfu 10 kutumwa kwa mwenye gari.