Skip to main content
Skip to main content

NTSA yawapokonya madereva 62 leseni

  • | KBC Video
    288 views
    Duration: 1:06
    Halmashahuri ya Uchukuzi na Usalama Barabarani (NTSA) imesimamisha leseni za madereva 62 kutoka kwa kampuni saba za kutoa huduma za uchukuzi wa umma na kuwataka wafanye upya mitihani ya uendeshaji magari . NTSA imesema hatua hii inaonyesha dhamira yao thabiti ya kuhakikisha usalama barabarani, hususan wakati wa msimu huu wa sherehe Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive