Nyoro awaahidi walimu wa JSS kandarasi ya kudumu

  • | KBC Video
    133 views

    BAJETI YA KITAIFA

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge la kitaifa kuhusu bajeti Ndindi Nyoro amedokeza kuhusu ongezeko la kiwango cha bajeti ya mwaka 2024/2025 hadi shilingi trilioni-4 kutoka makadirio ya awali ya shilingi trilioni-3.14.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive