Gavana wa Turkana Jeremiah Lomorukai apongeza uteuzi wa Erastus Ethekon kwa IEBC

  • | TV 47
    128 views

    Gavana wa Turkana Jeremiah Lomorukai apongeza uteuzi wa Erastus Ethekon.

    Ethekon aliteuliwa na Rais Ruto kuongoza Tume ya Uchaguzi nchini.

    Amemtaja kuwa mtu mwenye tajriba kando na elimu yake.

    Lomorukai ameitaka kamati ya bunge kuidhinisha walioteuliwa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __