NYS yakashifiwa kwa ubadhirifu wa shilingi bilioni 2, mikakati mipya ya ununuzi yazinduliwa

  • | KBC Video
    18 views

    Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amezindua mikakati kadhaa ya kushughulikia tatizo la ununuzi wa bidhaa kwa njia isiyofaa katika huduma ya vijana kwa taifa -NYS. Kadhalika waziri ameagiza mamlaka ya kushughulikia ununuzi katika sekta ya umma PPRA ikuindua ukaguzi wa kina wa shughuli zote za ununuzi za NYS kuanzia mwezi Julai mwaka 2019. Hatua hii amesema itasaidia kufanya marekebisho ya sera ya ununuzi wa bidhaa ya NYS.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive